Iwapo una maswali, maoni, pendekezo, mchango, au malalamiko yoyote kuhusu huduma zetu, au kuhitaji
taarifa zaidi, tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa kuja Chuoni au kupitia anwani zetu zilizopo hapa chini.
Au unaweza kujaza Fomu ya Mawasiliano iliyopo hapa kulia na kuiwasilisha kwetu. Karibu Sana!
Chuo cha Sanaa Dar es Salaam
1176 Mtaa wa Kibamba, 11660 Kibamba,Kando ya barabara ya Morogoro, Dar es Salaam.