KIPAJI NI AJIRA
Kila mtu anacho kipaji chake fulani. sisi tunajikita katika vipaji vya sanaa, kuviibua, kuvikuza na kuviendeleza kuwa ujuzi wa kitaalamu.
Read MoreSAA NI BIASHARA
Sanaa si burudani tu, bali ni biashara rasmi, yenye thamani na inayotambulika kisheria
Read MoreTIMIZA NDOTO YAKO YA KUWA MSANII
Chuo cha Sanaa Dar es Salaam ni taasisi ya kisasa inayoongoza nchini Tanzania katika kutoa mafunzo ya kina ya Sanaa za kitamaduni na za kisasa.
Read MoreWASIO NA NAFASI, TUNA NAFASI ZAO
Chuo cha Sanaa Dar es Salaam kinawahakikishia wote wenye uhitaji wa kusoma Sanaa, lakini wanakosa nafasi ya kutosha kuhudhuria vyuoni.....
Read More