Saluni ya Urembo
Chuo kina saluni ya urembo kwa ajili ya kutoa huduma kwa jamii katika maeneo ya urembo wa nywele, makeup, utunzaji wa ngozi,
utunzaji wa kucha, matibabu ya mikono na miguu na mapambo ya urembo. Saluni inafanya makeup za kawaida za urembo na
makeup za wasanii na watangazaji wa vipindi vya TV.