Utafiti
Chuo cha Sanaa Dar es Salaam kinafanya tafiti kwenye masuala yanayohusu Sanaa, Utamaduni, burudani, ubunifu na teknolojia, elimu, mafunzo ya ufundi stadi, na maendeleo ya jamii kiujumla.
Tunafanya tafiti wenyewe au kwa kushirikiana na vyuo na taasisi za elimu, Serikali, mashirika ya Serikali, mashirika yasiyo ya Kiserikali, sekta binafsi, Wasanii na watu binafsi.