Huduma za Ushauri
Chuo kinatoa huduma za ushauri elekezi kwa watu wenye ndoto za kuwa wasanii, wanafunzi wa Sanaa, vyuo na taasisi za elimu,
Serikali, mashirika ya Serikali, Mashirika yasiyo ya Kiserikali, Sekta binafsi, Wasanii na watu binafsi kuhusu Sanaa, Utamaduni,
burudani, ubunifu na teknolojia, elimu, mafunzo ya ufundi stadi, na maendeleo ya jamii.