HAKI MILIKI NA MATUMIZI YA TOVUTI YA CHUO CHA SANAA DAR ES SALAAM
© Chuo cha Sanaa Dar es Salaam, 2025.
Tovuti hii ni mali ya Chuo cha Sanaa Dar es Salaam na maudhui yake yanalindwa kwa mujibu wa sheria za hakimiliki na mikataba ya kimataifa.
Hakuna sehemu yoyote ya tovuti hii inayoruhusiwa kunakiliwa, kusambazwa, kuhaririwa, au kutumiwa kwa njia nyingine yoyote bila idhini ya maandishi kutoka Chuo cha Sanaa Dar es Salaam.
1. Matumizi Yanayoruhusiwa
- Wageni wa tovuti wanaruhusiwa kutazama, kupakua, na kuchapisha maudhui yaliyomo kwa matumizi ya kibinafsi au kisanaa au kielimu pekee, alimradi chanzo kitatambuliwa ipasavyo.
2. Matumizi Yasiyoruhusiwa
- Hairuhusiwi kutumia maudhui yaliyomo kwenye tovuti hii kwa madhumuni ya kibiashara bila idhini rasmi.
Kwa maombi ya ruhusa au maswali, tafadhali wasiliana nasi kupitia:
- Chuo cha Sanaa Dar es Salaam
1176 Mt. Kibamba. 16110 Kibamba, Kando ya Barabara ya Morogoro.
S.L.P 72115, Dar es Salaam, Tanzania.
- +255 715 910 010
- karibu@dararts.ac.tz