Maono
Kituo cha umahiri kinachojulikana na kuheshimika katika kutoa mafunzo, kufanya utafiti na kutoa ushauri elekezi katika tasnia ya Sanaa nchini Tanzania.
Dhamira
Kujikita katika kutoa stadi zinazozingatia umahiri, ujuzi na fursa kwa wote, katika kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji katika
Sanaa na kutumia vipaji vyao kuajiriwa au kujiajiri na kuendesha biashara za Sanaa