Hali ya Usajili
Chuo kina usajili kamili kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa namba ya usajili
REG/NACTVET/1125. Na kimeidhinishwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) na Baraza la Kiswahili
la Taifa (BAKITA).