Maadili ya Msingi
Maadili yetu ya msingi ni mkusanyiko wa kanuni, misingi, na tabia ambazo tunazitumia katika utoaji wa huduma, ufundishaji, na
ushirikiano kati ya Chuo na jamii ya Chuo, Serikali, wadau wa Chuo, na jamii kwa ujumla. Maadili yetu ni:
-
a. Nidhamu
-
b. Uadilifu
-
c. Ujasiri
-
d. Ubunifu
-
e. Umahiri
-
f. Ujumuishi
-
g. Usawa
-
h. Ushirikishaji
Maadili yetu ya msingi yamejengwa juu ya utamaduni wetu wa kipekee na unaovutia unaotutofautisha na wengine.