CHUO CHA SANAA DAR ES SALAAM


"Kipaji ni Ajira. Sanaa ni Biashara"

MUUNDO WA ADA NA MICHANGO

Ada

S/N Kozi Ada (TSH) Muda
1 Kozi Ndefu 800,000 Mwaka 1
2 Kozi Fupi 500,000 Miezi 3
3 Kozi za Mahitaji Mahsusi 300,000 Mwezi 1
4 Kozi ya Lugha ya Kiswahili kwa Wageni 25,000/saa moja Miezi 2
5 Kozi za After-Exams Sanaa Time 60,000/Mwezi Miezi 3

Michango

(Kozi za After-Exams Sanaa Time hazihusiki na Michango hii)

Huduma/Kifaa Gharama (TSH)
Usajili 25,000
Kitambulisho 20,000
Fulana 25,000
Serikali ya Wanachuo 10,000
Ada ya Matengenezo (Madarasa/Studio/Maabara/Saluni) 30,000
Usimamizi wa Mazoezi na Mafunzo ya Vitendo Uwandani* 100,000