CHUO CHA SANAA DAR ES SALAAM


"Kipaji ni Ajira. Sanaa ni Biashara"

STUDIO YA UBUNIFU KIDIGITALI

Studio hii inatoa huduma za upigaji picha mgando na picha jongefu, kuhariri picha, kufanya kazi zote za graphic design na kuprint, animation design na ubunifu na uendelezaji wa tovuti. Huduma hizi zinatolewa kwa jamii kwa gharama nafuu.