CHUO CHA SANAA DAR ES SALAAM


"Kipaji ni Ajira. Sanaa ni Biashara"

SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI

a. Kozi Ndefu

Sifa za kujiunga

Muombaji awe na elimu ya angalau Kidato cha Nne (Form IV).

Muda wa Kusoma

Miezi kumi na miwili (12).


b. Kozi Fupi

Sifa za kujiunga

Muda wa Kusoma

# Jina la Kozi Muda wa Masomo
1 Sanaa za Kazi za Mikono na Dijitali; Utaalamu wa Uchoraji na Mapambo Short Course
2 Sanaa za Kazi za Mikono na Dijitali; Utaalamu wa Ubunifu wa Picha na Michoro (Graphic Design) Short Course
3 Sanaa za Kazi za Mikono na Dijitali; Utaalamu wa Ubunifu wa Picha/Michoro Jongefu (Animation Design) Short Course
4 Sanaa za Kazi za Mikono na Dijitali; Utaalamu wa Uchongaji Vinyago Short Course
5 Sanaa za Kazi za Mikono na Dijitali; Utaalamu wa Ususi wa Vifaa vya Kitamaduni Short Course
6 Sanaa ya Urembo; Utaalamu wa Urembo wa Nywele Short Course
7 Sanaa ya Urembo; Utaalamu wa Makeup Short Course
8 Sanaa ya Urembo; Utaalamu wa Utunzaji Ngozi Short Course
9 Sanaa ya Urembo; Utaalamu wa Utunzaji Kucha (Nail Care), Matibabu ya Mikono (Manicure), na Matibabu ya Miguu (Pedicure) Short Course
10 Sanaa ya Urembo; Utaalamu wa Mapambo Short Course
11 Ubunifu wa Mitindo na Mavazi ya Vionjo; Utaalamu wa Ubunifu wa Mitindo (Fashion Design) Short Course
12 Ubunifu wa Mitindo na Mavazi ya Vionjo; Utaalamu wa Mitindo ya Mavazi ya Vionjo (Costume Design) Short Course
13 Ubunifu wa Mitindo na Mavazi ya Vionjo; Utaalamu wa Uanamitindo Short Course
14 Muziki na Ngoma; Utaalamu wa Kuimba Muziki (Bongo Fleva) Short Course
15 Muziki na Ngoma; Utaalamu wa Alama za Muziki (Musical Notation) Short Course
16 Muziki na Ngoma; Utaalamu wa Sauti ya Kuimba (Vocal) Short Course
17 Muziki na Ngoma; Utaalamu wa Upigaji wa Ala za Muziki Short Course
18 Muziki na Ngoma; Utaalamu wa Uchezaji wa Muziki (kudance na keorografia) Short Course
19 Muziki na Ngoma; Utaalamu wa Ngoma za Asili Short Course
20 Ubunifu wa Sauti na Muziki; Utaalamu wa Ubunifu wa Sauti (Sound Design) Short Course
21 Ubunifu wa Sauti na Muziki; Utaalamu wa Uzalishaji wa Muziki (Music Production) Short Course
22 Uigizaji kwa ajili ya Jukwaani na Filamu; Utaalamu wa Uigizaji wa Hadharani Short Course
23 Uigizaji kwa ajili ya Jukwaani na Filamu; Utaalamu wa Uigizaji wa Filamu, na Video za Muziki Short Course
24 Uigizaji kwa ajili ya Jukwaani na Filamu; Utaalamu wa Uigizaji Sauti Short Course
25 Uigizaji kwa ajili ya Jukwaani na Filamu; Utaalamu wa Utambaji wa Hadithi na Masimulizi Short Course
26 Uzalishaji wa Filamu na Vipindi vya TV; Utaalamu wa Uongozaji wa Video (Video Directing) Short Course
27 Uzalishaji wa Filamu na Vipindi vya TV; Utaalamu wa Uzalishaji wa Filamu Short Course
28 Uzalishaji wa Filamu na Vipindi vya TV; Utaalamu wa Uzalishaji wa Vipindi vya Televisheni Short Course
29 Mahitaji Mahsusi (Tailor-made) Short Course
30 Usimamizi wa Sanaa (Art Management) Short Course
31 Sanaa za Maonesho na Ubunifu (Performing Art and Design) Long Course
32 Uzalishaji wa Filamu na Vipindi vya TV (Film and TV Production) Long Course
33 Ubunifu wa Muziki na Sauti (Music and Sound Design) Long Course
34 Mahitaji Mahsusi (Tailor-made) Short Course
35 Lugha ya Kiswahili kwa Wageni Short Course