CHUO CHA SANAA DAR ES SALAAM


"Kipaji ni Ajira. Sanaa ni Biashara"

new JIUNGE NA SEPTEMBER INTAKE
new AFTER-EXAM SANAA TIME
Slide 1 Slide 2

KARIBU!

Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye tovuti rasmi ya Chuo cha Sanaa Dar es Salaam. Hapa ni kitovu cha umahiri katika kutoa mafunzo ya fani mbalimbali za Sanaa za kitamaduni na kisasa, pamoja na kufanya tafiti na kutoa ushauri katika tasnia ya Utamaduni na Sanaa nchini Tanzania. Tovuti hii ni rasilimali muhimu inayotoa taarifa, maarifa, na fursa katika tasnia hiyo.

Soma Zaidi

KALENDA YA MATUKIO

MATANGAZO

HABARI MPYA

Umuhimu wa Kuwa na Kipaji

Kipaji ni kitu cha kipekee kinachokufanya uwe tofauti na wengine. Kwa kuitambua na kuukuzaji, unaweza kufanikisha malengo yako na kujenga maisha yenye matokeo chanya. Jisajili leo na uanze safari yako ya kugundua na kuimarisha kipaji chako!


sunset

KIPAJI NI AJIRA

Kila mtu anacho kipaji chake fulani. sisi tunajikita katika vipaji vya sanaa, kuviibua, kuvikuza na kuviendeleza kuwa ujuzi wa kitaalamu.

Read More

SAA NI BIASHARA

Sanaa si burudani tu, bali ni biashara rasmi, yenye thamani na inayotambulika kisheria

Read More

TIMIZA NDOTO YAKO YA KUWA MSANII

Chuo cha Sanaa Dar es Salaam ni taasisi ya kisasa inayoongoza nchini Tanzania katika kutoa mafunzo ya kina ya Sanaa za kitamaduni na za kisasa.

Read More

WASIO NA NAFASI, TUNA NAFASI ZAO

Chuo cha Sanaa Dar es Salaam kinawahakikishia wote wenye uhitaji wa kusoma Sanaa, lakini wanakosa nafasi ya kutosha kuhudhuria vyuoni.....

Read More